Jumapili, 27 Aprili 2014

 SOMA HILI:"NIPO TAYARI KUFA KWA AJILI YA DIAMOND",HALIMA

Stori: Imelda Mtema
DADA wa hiyari wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Halima Kimwana amejichora tatuu ya jina la staa huyo na kudai anampenda na yupo tayari kufa kwa ajili yake.

Read the full story

Ijumaa, 18 Aprili 2014

BAADA YA KIMYA KIREFU, PENNY ARUDI KWA KISHINDO KWA KUACHIA PICHA ZIKIONESHA MAUNGO YAKE KATIKA MTANDAO WA KIJAMII..!!

11:52



Baada ya kuwa kimya katika akaunti yake ya instagram, Penny ambaye ni mtangazaji wa kituo cha DTV kilichopo Dar, amerudi kwa kasi katika mtandao huo baada ya kuachia picha yenye mitego ikionesha kitovu chake, tazama

Read the full story

BREAKING NEWS: MELI YAZAMA ZIWA VICTORIA HIVI PUNDE

11:50


picha haihusiani na tukio
Meli ya mizigo ya Kampuni ya FB Matara iliyokuwa inatoka Bukoba kwenda Mwanza ikiwa na wafanyakazi kumi na shehena ya sukari imezama ziwa victoria katikati ya visiwa vya Kerebe na Bumbile.
Taarifa kamili itakujia baadaye

Read the full story

HALI HII INATISHA INSTAGRAM LEO HII:: HUYU NDIE MSANII WA BONGO MOVIE ANAYEPENDA KUSAGANA

11:48

 

Mtandao wa instagram siku hizi umekuwa mtandao wa kuwa na umbea wote wa mjini hapa, katikamtandao huo team yetu ilikutana na post ambayo ilituacha midomo wazi ya kuwa yule dada ambaye ni rafiki wa karibu na Lulu Michael kuwa naye yupo katika mkondo wa usagaji.

Read the full story

Alhamisi, 17 Aprili 2014

MAJIRANI WAMLALAMIKIA JIDE KWA UCHAFU

08:06


MAJIRANI wanaoishi karibu na mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo, Judith Wambura ‘Jide’ wamelalamika kwamba mwanamuziki huyo ameiweka nyumba yake katika mazingira ya uchafu yanayohatarisha maisha yao.
Mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo, Judith Wambura ‘Jide’.
Wakizungumza na Amani, majirani hao wanaoishi Kimara-Temboni jijini Dar, walisema mwanadada huyo ameacha vichaka vikubwa vinavyoizunguka nyumba yake hali ambayo ni hatari kwani nyoka wanaweza kufanya makazi hivyo kusababisha maafa kwa watoto na watu wazima.

Read the full story

UNALIJUA HILI????>>>>HUYU NDO DEMU WA KIBONGO KUTOKA MWANZA ALIYEFANYA VIDEO NA RICK ROSS, CHEKI PICHA NA STORI ZAKE HAPA

07:40



 

Read the full story

HABARI PICHA:.....>>>>TAZAMA :WAKAZI MSIMBAZI HATARINI KUKUMBWA NA MAFURIKO TENA

07:17

                                                   Hali inavyoonekana kwa chini
            

                                     hali ya maji ilivyo kwenye mitaa ya bondeni  msimbazi

Read the full story

Jumatano, 16 Aprili 2014

HII KALI!! HAWA NDIYO WANAMUZIKI WA KIUME AMBAO MPAKA LEO WANAISHI KWA MAMA ZAO (WATOTO WA MAMA)

18:45


Chid Benz 


ni Ilala pale maflat ghorofa ya juu kabisa

Read the full story

INSTAGRAM KUMENUKA YAGEUKA UBAO WA MATANGAZO, CHEKI PICHA HIZI ZA WADADA NI HATARII

18:42


Read the full story

KUMBE WABUNGE WA UKAWA NA CHADEMA WALIOSUSIA BUNGE LEO WAMELIPWA POSHO MPAKA YA TAREHE 30/4/2014 JE WATARUDISHA?

18:38



Wabunge wa upinzani wote wamesusa na kuondoka katika ‪‎Bunge La Katiba‬ kwa madaikuzidiwa na malumbano ya Serikali 2 na 3 muda mchache uliopita huko Dodoma Bungeni live!!

Read the full story

SOMA KAULI YA SHILOLE KUHUSIANA NA MTUWAKE MPYA,NUHU MZIWANDA

18:20


Na Denis Mtima

STAA wa filamu na mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’ amefunguka kuwa amenasa vilivyo katika penzi la msanii mwenzake, Nuhu Mziwanda hatarajii kuachika.
Staa wa filamu na mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’ akiwa kwenye pozi la kimahaba na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Nuhu Mziwanda…

Read the full story

TAZAMA PICHA ZA MAVIDEO QUEEN WANAOTIKISA SANA KWA AFRIKA MASHARIKI KWA SASA

06:53

 


Vera-sidika-www-vibe-co-tz
Risper-Faith-Copyright-www-vibe-co-tz
Agnes Jerald / Masogange (Tanzania)Tunaweza kusema huyu anaweza kuwa ndio vera sidika wa kibongo , japokua ni video moja iliyomtoa ambayo ni video ya belle 9 iitwayo masogange..Cynthia Masasi (Tanzania)Ni Video Vixen kutoka Mwanza Tanzania Ambaye anafanyia kazi zake Marekani. Ameshakua Featured Kwenye videos zaidi ya 30 nchini Marekani. Ameshafanya videos na wasanii kama T.I, Juvenile, Jazze Pha, Rick Ross na wengine kibao. Baadhi ni Ride Remix-Trey

Read the full story

HII HATARIIII.......>>>>>> MWALIMU AZUA BALAA SHULENI KUTOKANA NA UMBO LAKE.

01:30

Mtandao huu umetumiwa picha hii ya mwalimu wa shule moja ya Sekondari iliyopo Mkoani Kagera vijijini ambae amelalamikiwa na wazazi kufuatia wanafunzi wa shule hiyo kushindwa kusoma vizuri


Read the full story

Jumanne, 15 Aprili 2014

SWAHILI NATION ENT. KUANZA MAZOEZI JUMAMOSI HII.

11:27

Kampuni ya usimamizi wa kazi za wasanii wanaokuja kwa kasi ya Swahili Nation,inatarajia kufanya mazoezi ya muvi yao ya kwanza itakayoandaliwa na kampuni hiyo chini ya mtu mzima Mchox,akiongea na mwandishi wetu,Mchox amedai wasanii wamejipanga kufanya mapinduzi kwenye soko la fiamu kwani,Swahili Nation itadondosha bonge la muvi litakaloweka historia ndani na nje ya bongo.
 Mchox ameongeza pia,mazoezi yatafanyika katika shule ya sekondari Kisukuru Regent iliyopo tabata segerea,barabara ya mangala.
 Hata hivyo Mchox hakuweka wazi jina la muvi hiyo akihofia wenye tabia ya kuiba idea za watu wangefanya hivyo.

Read the full story

Jumatano, 9 Aprili 2014

Fahari ya macho,tazama picha hii

05:35


yangu macho mie

Read the full story

Jumanne, 8 Aprili 2014

Pata nafasi ya kusoma Tamko la awali la CHADEMA kupinga uchaguzi mdogo wa Chalinze

02:43



Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kinatoa tamko la awali kwa umma kuhusu ukiukwaji mkubwa wa taratibu, kanuni na sheria zinazosimamia uchaguzi, zilizofanyika kwenye mchakato wa uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Chalinze, ambao umehitimishwa Aprili 6, mwaka huu, kwa wapiga kura wa jimbo hili kupiga kura;

Read the full story

Jumapili, 6 Aprili 2014

UMELISIKA HILI>>>>>>>,KUTANA NA MTU WA AJABU,CHAKULA CHAKE NI TOFALI PEKEE.

11:25


Fundi huyo wa kujenga nyumba Pakkirappa Hunagundi anasema kwamba ameanza kula vitu kama hivyo tangu akiwa na miaka 10 na anaweza kukosa chakula lakini hawezi kukosa kula vipande vya matofali.

Read the full story

DUH HII NOOOMA,DADA WA DIAMOND APEWA ZA USO BAADA YA KUKOSEA KINGEREZA INSTAGRAM. JIONEE HAPA

07:29



Watu hata hawana huruma ..Hawachelewishi kitu ..baada ya Mwanadada halima Kimwana Ndugu yake na Diamond Kupost Picha Akiwa na Penny Mpenzi wa Diamond wa zamani na kuandika Caption ya Kingereza Kibovo (Bcz we Happy) Watu waliidaka hiyo Picha na Kuanza Kuichambua kama Karanga

Read the full story

HATARIIIIIIII,"MAUZA UZA MATUPU IRINGA CHUNGU CHA AJABU CHAIBUKA JUU YA KABURI KIKIFOKA DAMU

07:20




Chungu cha ajabu kilichokutwa juu ya kaburi katika makaburi ya Makanyagio mjini Iringa leo kikiwa kinafoka damu

Read the full story

Popular Posts