Jumapili, 27 Aprili 2014

Categorized |

 SOMA HILI:"NIPO TAYARI KUFA KWA AJILI YA DIAMOND",HALIMA

Stori: Imelda Mtema
DADA wa hiyari wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Halima Kimwana amejichora tatuu ya jina la staa huyo na kudai anampenda na yupo tayari kufa kwa ajili yake.

Alisema ukaribu wake ni wa kawaida lakini yupo tayari kufa badala yake (Diamond).
“Nipo tayari kufa kwa ajili ya Diamond, nimechora tatuu ya jina lake mkononi kuonesha msisitizo, namkubali” alisema Halima.

0 Responses to “ ”

Chapisha Maoni

Popular Posts