Jumatano, 16 Aprili 2014

Categorized |

HII HATARIIII.......>>>>>> MWALIMU AZUA BALAA SHULENI KUTOKANA NA UMBO LAKE.

01:30

Mtandao huu umetumiwa picha hii ya mwalimu wa shule moja ya Sekondari iliyopo Mkoani Kagera vijijini ambae amelalamikiwa na wazazi kufuatia wanafunzi wa shule hiyo kushindwa kusoma vizuri

kisa makalio yake makubwa ambayo kipindi akiwa anaandika somo ubaona huku nyuma yakitikisika kwa staili ya kipekee.
Kwa mujibu wa mzazi huyo ambae alimvizia dada huyo akiwa kwenye nyumba za walimu na kumpiga picha inayoonekana hapo juu alisema" Unajuwa huyu mwalimu anafundisha kidato cha kwanza huku ifahamike wanafunzi wengi wa umri huo ni wale wanaobarehe hivyo inawauwiya vugumu kuvumilia shughuri aliyonayo mwalimu huyo nyuma" Alisema mzazi huyo ambae aliomba hifadhi ya jina lake.

0 Responses to “HII HATARIIII.......>>>>>> MWALIMU AZUA BALAA SHULENI KUTOKANA NA UMBO LAKE.”

Chapisha Maoni

Popular Posts