Jumatano, 16 Aprili 2014

Categorized |

HII KALI!! HAWA NDIYO WANAMUZIKI WA KIUME AMBAO MPAKA LEO WANAISHI KWA MAMA ZAO (WATOTO WA MAMA)

18:45


Chid Benz 


ni Ilala pale maflat ghorofa ya juu kabisa

Jux

 huyu pia anatumia zaidi mpunga wa mama kufanyia promo ya nyimbo zake still njemba inaminya home japo yupo china ila akirudi movie linaendea kwa mama jux
Dullayo
nyumbani ni majumba sita na hakuna mipango ya kutoka hapo born home die home
 
GosBy

mama kwa huyu jank ndio kila kitu anaitwa agripina
CHANZO;BLOG YA WANANCHI

0 Responses to “HII KALI!! HAWA NDIYO WANAMUZIKI WA KIUME AMBAO MPAKA LEO WANAISHI KWA MAMA ZAO (WATOTO WA MAMA)”

Chapisha Maoni

Popular Posts