Jumanne, 15 Aprili 2014

Categorized |

SWAHILI NATION ENT. KUANZA MAZOEZI JUMAMOSI HII.

11:27

Kampuni ya usimamizi wa kazi za wasanii wanaokuja kwa kasi ya Swahili Nation,inatarajia kufanya mazoezi ya muvi yao ya kwanza itakayoandaliwa na kampuni hiyo chini ya mtu mzima Mchox,akiongea na mwandishi wetu,Mchox amedai wasanii wamejipanga kufanya mapinduzi kwenye soko la fiamu kwani,Swahili Nation itadondosha bonge la muvi litakaloweka historia ndani na nje ya bongo.
 Mchox ameongeza pia,mazoezi yatafanyika katika shule ya sekondari Kisukuru Regent iliyopo tabata segerea,barabara ya mangala.
 Hata hivyo Mchox hakuweka wazi jina la muvi hiyo akihofia wenye tabia ya kuiba idea za watu wangefanya hivyo.

0 Responses to “SWAHILI NATION ENT. KUANZA MAZOEZI JUMAMOSI HII.”

Chapisha Maoni

Popular Posts