Jumapili, 6 Aprili 2014

Categorized |

DUH HII NOOOMA,DADA WA DIAMOND APEWA ZA USO BAADA YA KUKOSEA KINGEREZA INSTAGRAM. JIONEE HAPA

07:29



Watu hata hawana huruma ..Hawachelewishi kitu ..baada ya Mwanadada halima Kimwana Ndugu yake na Diamond Kupost Picha Akiwa na Penny Mpenzi wa Diamond wa zamani na kuandika Caption ya Kingereza Kibovo (Bcz we Happy) Watu waliidaka hiyo Picha na Kuanza Kuichambua kama Karanga

0 Responses to “DUH HII NOOOMA,DADA WA DIAMOND APEWA ZA USO BAADA YA KUKOSEA KINGEREZA INSTAGRAM. JIONEE HAPA”

Chapisha Maoni

Popular Posts