Jumapili, 27 Aprili 2014
Ijumaa, 18 Aprili 2014
BAADA YA KIMYA KIREFU, PENNY ARUDI KWA KISHINDO KWA KUACHIA PICHA ZIKIONESHA MAUNGO YAKE KATIKA MTANDAO WA KIJAMII..!!
11:52
Alhamisi, 17 Aprili 2014
MAJIRANI WAMLALAMIKIA JIDE KWA UCHAFU
08:06
MAJIRANI wanaoishi karibu na mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo,
Judith Wambura ‘Jide’ wamelalamika kwamba mwanamuziki huyo ameiweka
nyumba yake katika mazingira ya uchafu yanayohatarisha maisha yao.
UNALIJUA HILI????>>>>HUYU NDO DEMU WA KIBONGO KUTOKA MWANZA ALIYEFANYA VIDEO NA RICK ROSS, CHEKI PICHA NA STORI ZAKE HAPA
07:40
Jumatano, 16 Aprili 2014
HII KALI!! HAWA NDIYO WANAMUZIKI WA KIUME AMBAO MPAKA LEO WANAISHI KWA MAMA ZAO (WATOTO WA MAMA)
18:45
KUMBE WABUNGE WA UKAWA NA CHADEMA WALIOSUSIA BUNGE LEO WAMELIPWA POSHO MPAKA YA TAREHE 30/4/2014 JE WATARUDISHA?
18:38
SOMA KAULI YA SHILOLE KUHUSIANA NA MTUWAKE MPYA,NUHU MZIWANDA
18:20
TAZAMA PICHA ZA MAVIDEO QUEEN WANAOTIKISA SANA KWA AFRIKA MASHARIKI KWA SASA
06:53
Agnes Jerald / Masogange (Tanzania)Tunaweza
kusema huyu anaweza kuwa ndio vera sidika wa kibongo , japokua ni video
moja iliyomtoa ambayo ni video ya belle 9 iitwayo masogange..Cynthia Masasi (Tanzania)Ni
Video Vixen kutoka Mwanza Tanzania Ambaye anafanyia kazi zake Marekani.
Ameshakua Featured Kwenye videos zaidi ya 30 nchini Marekani.
Ameshafanya videos na wasanii kama T.I, Juvenile, Jazze Pha, Rick Ross
na wengine kibao. Baadhi ni Ride Remix-Trey
HII HATARIIII.......>>>>>> MWALIMU AZUA BALAA SHULENI KUTOKANA NA UMBO LAKE.
01:30
Jumanne, 15 Aprili 2014
SWAHILI NATION ENT. KUANZA MAZOEZI JUMAMOSI HII.
11:27
Kampuni ya usimamizi wa kazi za wasanii wanaokuja kwa kasi ya Swahili Nation,inatarajia kufanya mazoezi ya muvi yao ya kwanza itakayoandaliwa na kampuni hiyo chini ya mtu mzima Mchox,akiongea na mwandishi wetu,Mchox amedai wasanii wamejipanga kufanya mapinduzi kwenye soko la fiamu kwani,Swahili Nation itadondosha bonge la muvi litakaloweka historia ndani na nje ya bongo.
Mchox ameongeza pia,mazoezi yatafanyika katika shule ya sekondari Kisukuru Regent iliyopo tabata segerea,barabara ya mangala.
Hata hivyo Mchox hakuweka wazi jina la muvi hiyo akihofia wenye tabia ya kuiba idea za watu wangefanya hivyo.
Mchox ameongeza pia,mazoezi yatafanyika katika shule ya sekondari Kisukuru Regent iliyopo tabata segerea,barabara ya mangala.
Hata hivyo Mchox hakuweka wazi jina la muvi hiyo akihofia wenye tabia ya kuiba idea za watu wangefanya hivyo.
Jumatano, 9 Aprili 2014
Jumanne, 8 Aprili 2014
Pata nafasi ya kusoma Tamko la awali la CHADEMA kupinga uchaguzi mdogo wa Chalinze
02:43
Jumapili, 6 Aprili 2014
UMELISIKA HILI>>>>>>>,KUTANA NA MTU WA AJABU,CHAKULA CHAKE NI TOFALI PEKEE.
11:25
Fundi huyo wa kujenga nyumba Pakkirappa Hunagundi anasema kwamba ameanza kula vitu kama hivyo tangu akiwa na miaka 10 na anaweza kukosa chakula lakini hawezi kukosa kula vipande vya matofali.
HATARIIIIIIII,"MAUZA UZA MATUPU IRINGA CHUNGU CHA AJABU CHAIBUKA JUU YA KABURI KIKIFOKA DAMU
07:20
Chungu cha ajabu kilichokutwa juu ya kaburi katika makaburi ya Makanyagio mjini Iringa leo kikiwa kinafoka damu |
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)